Habari za Mastaa

‘Michael Jackson mfalme wa POP, R Kelly Mfalme wa R &B’- Boosie

on

Ni headlines za Rapper kutokea Marekani Boosie Badazz ambae time hii amehojiwa na Dj Vlad mambo mengi kuhusiana na burudani.

Sasa miongoni waliyoyajadili wawili hao ni kwamba R Kelly angefaa kuwa Mfalme wa Muziki wa R&B huku kwenye muziki wa Pop akapewa heshima Michael Jackson.

Unaweza ukabonyeza play kusikiliza mjadala wa wawili hao.

“Michael Jackson Mfalme Wa POP, R.Kelly Mfalme Wa R&B” – Boosie

TAZAMA RAIS SAMIA ALIVYOMPIGIA SIMU STEVE NYERERE LIVE NA KUZUNGUMZA NA WASANII

Soma na hizi

Tupia Comments