Habari za Mastaa

Michango dhidi ya Covid-19, Meek Mill aipiga mnada gari yake ‘Rolls-Royce’

on

Dunia ikiwa bado kwenye janga zito la Covid-19, sasa Rapper kutokea Marekani Meek Mill kupitia ukurasa wake wa instagram alijirekodi video inayoashiria analiuza gari lake aina ya Rolls Royce Phantom na Pesa itakayopatikana baada ya kununuliwa  basi Fedha hizo zitaelekezwa  moja kwa moja kwenye  manunuzi ya vifaa vya kujikinga na maambukizi ya Virusi vya Corona.

 

DIVA KAFICHUA ALIVYOTOKA KIMAPENZI NA ALIKIBA KWA SIRI, KAWEKA HADHARANI MASSAGE ZAO

Soma na hizi

Tupia Comments