Michezo

Hat Trick ya Sergio Aguero imeifanya Manchester City kuondoka na point 3 darajani..

on

April 16 2016 kuliendelea michezo kadhaa  katika ligi Kuu ya Uingereza michezo ambayo ilipigwa katika viwanja sita tofauti Uingereza, klabu ya Chelsea walikuwa wenyeji wa Manchester city, Mchezo ambao ulipigwa katika dimba la Stanford Bridge na kuifanya Manchester City kuondoka na point tatu

Screenshot_2016-04-16-21-40-51-1 (1)

Screenshot_2016-04-16-21-40-39-1

Mchezo wa Chelsea dhidi ya Manchester City ndio mchezo uliokuwa unasubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka, kwani ulikuwa unahusisha timu kubwa za Ligi Kuu Uingereza kwa siku ya April 16 2016. Mchezo ulimalizika kwa Manchester city kuibuka na ushindi wa goli 3-0. Magoli ya Manchester city yalifungwa na Sergio Aguero dakika ya 33, 54, na 81 na kumfanya Sergio Aguero kufunga Hat Trick kwenye mchezo huo.

Mechi zingine zilizopigwa leo April 16 2016 

Norwich City 0-3 Sunderland
Everton 1-1 Southampton
Manchester United 1-0 Aston Villa
Newcastle United 3-0 Swansea City
West Bromwich Albion 0-1 Watford
 Magoli ya Chelsea vs Manchester City April 15 2016

https://www.youtube.com/watch?v=2Y1X3fVJXig

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

ULIMISS MAGOLI YALIYONASWA KWENYE MECHI YA AZAM FC VS ESPERANCE YA TUNISIA APRIL 10 2016

Soma na hizi

Tupia Comments