Michezo

Nafasi nzuri kwa Luis Suarez baada ya ushindi wa jana dhidi ya PSG…

on

suarezMshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez amefunga mabao mawili wakati Barcelona ikiichapa PSG ya Ufaransa usiku wa jana kwa mabao 3-1.

goal

Barcelona ikiwa ugenini ilikua na kibarua dhidi ya PSG katika mchezo wa robo fainali ya kwanza katika uwanja wa Parc Des Princes uliopo Ufaransa.

tenaBao la kwanza lilifungwa na Neymar, Suarez akafunga la pili ambalo kwake ni bao la 1,000 kabla ya kufunga tena ambalo limekuwa bao la 1,001.

Pamoja na kufikisha mabao hayo, Barcelona inaendelea kubaki katika nafasi ya pili kwa kuwa Real Madrid ndiyo inayoongoza kwa kuwa na mabao 1,016.

Hautopitwa na stori yoyote inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza>>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments