Mix

PICHA 14: Gari la kubebea miili ya marehemu waliokosa ndugu DSM lililozinduliwa leo

on

Leo August 11 2017 Meya wa jiji la Dar es salaam, Isaya Mwita amezindua gari la kubebea miili ya marehemu waliokosa ndugu katika jiji la Dar es salaam, unaweza kutazama picha hizi 14 za gari hilo

VIDEO: Press ya kwanza ya Makonda baada ya kumalizana na Wahariri, Bonyeza play hapa chini kutazama 

Soma na hizi

Tupia Comments