Top Stories

“Migogoro ya Kampuni itatuliwe kwa kufuata kanunia na sheria” Waziri Kitila Mkumbo

on

Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof.Kitila Mkumbo amewataka Watumishi wa umma nchini wanaoshughulika na Biashara waache kudhibiti Biashara bali wawezeshe Biashara.

Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Ofisi za Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), Waziri Kitila amesema Serikali na Biashara zinahusiana sana na hakuna Biashara bila mkono wa Serikali.

Soma na hizi

Tupia Comments