Top Stories

Mikoa 23 Tanzania Bara kuanza kuuza wanyamapori

on

Katibu mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dk. Aloyce Nzuki ametangaza hatua ya kuanzishwa kwa bucha hizo leo akiwa katika Ofisi za makao makuu ya TAWA yaliyopo mkoani Morogoro.

Dk. Nzuki amesema kuanzishwa bucha za kuuza nyamapori ni fursa kwa wananchi na ni matakwa ya Sera ya Wanyamapori ya mwaka 2007 na sheria ya kuhifadhi wanyamapori sura namba 283.

“Sheria hii imehimiza wananchi kutumia na kunufaika moja kwa moja au shughuli za utalii zinazoiletea Serikali mapato kupitia matumizi kwa endelevu ya rasilimali ya wanyamapori” Dk. Nzuki

TAJIRI NAMBA 1, TRILIONEA, ALIGAWA DHAHABU KAMA PIPI, WALINZI ELFU 60, MSAFARA TEMBO 100, NGAMIA 80

Soma na hizi

Tupia Comments