fB insta twitter

Ujumbe wa Professor Jay kwa watu wa Mikumi

on

Moja ya kazi kubwa ya social media ni kufikisha ujumbe kwa watu wengi kwa wakati mfupi sana ambapo watu mbalimbali hutumia kuelezea hisia zao, maoni, mawazo na hoja mbalimbali.

Miongoni mwa wanaotumia social media kuwafikia watu wao ni pamoja na wanasiasa ambapo leo April 19, 2017 Mbunge wa Mikumi Joseph Haule ‘Professor Jay’ ameutumia ukurasa wake wa Instagram kufikisha ujumbe kwa watu wa jimbo lake kuelekea kwenye Bunge linaloedelea mjini Dodoma akiwaomba ushauri kuelekea majibu ya swali kuhusu kero ya maji.

“Mikumi Stand up…
Leo tunakwenda kupata majibu ya swali letu namba 75 kuhusu Kero kubwa ya MAJI jimboni Mikumi! ! Kuna ushauri wowote wa nyongeza kuhusu kero ya maji jimboni Mikumi? ? Naomba maoni yako ili tuongeze kwenye swali la nyongeza???” – Professor Jay.

Soma na hizi

Tupia Comments