AyoTV

VIDEO: Milioni 40 zinapotea kwa siku moja kutokana na watumishi hewa wa bungeni

on

Wakati bunge likisubiri kuanza kusomwa kwa bajeti kuu June 8 2016 nakukutanisha na mahojiano yanayoendelea kwa sasa, Mbunge wa jimbo la Nkasi kaskazini Ally Keissy ametusaidia kuipata takwimu ya kiwango cha fedha zaidi ya milioni 40 kinachopotea kutokana na watumishi hewa bungeni.

Upotevu huo unatokana na kitendo cha baadhi ya wabunge kusaini mahudhurio (kutia dole) na kuondoka bila kushiriki vikao vya bunge huku wakiendelea kupokea posho za kila siku.

ULIIKOSA HII? WABUNGE WA CCM WAMEPINGA SHINIKIZO WAPINZANI KUMUONDOA NAIBU SPIKA DK. TULIA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FBInstagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa  INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments