Top Stories

Milioni 30 zazuia Mwili wa Marehemu Mochwari?, Hospitali na Familia wafunguka (video+)

on

Hospitali ya Rufaa ya kanda ya Lutheran Medical Centre iliyopo Mkoani Arusha imetoa ufafanuzi kuhusu taarifa ya mwili Marehemu Felista Kaaya kudaiwa kuzuiliwa Hospitalini hapo kutokana na deni la fedha za matibabu na dawa zinazozidi milioni 30, taarifa kamili ipo kwenye video hii.

KIJANA ALIYEFARIKI KWENYE MASHINDANO YA PIKIPIKI ARUSHA AZIKWA

Soma na hizi

Tupia Comments