Top Stories

Milioni 50 zatumika kukarabati Miundombinu ya maji iliyosombwa na mafuriko (+video)

on

Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira jijini Mbeya (Mbeya- WSSA), imetumia zaidi ya shilingi milioni 50 kukarabati miundombinu ya maji ambayo ilikuwa imesombwa na mafuriko yaliyosababishwa na mvua inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya Mkoa huo.

Mkurugenzi wa Mbeya-WSSA, Mhandisi Ndele Mengo, amesema mafuriko hayo yamesababisha maeneo mengi ya Mkoa huo kukosa maji kutokana na kuharibu miundombinu kwa kusomba mabomba pamoja na kujaza mchanga na tope kwenye vyanzo vya maji.

MTEJA KAMA HUTAKI KUNAWA MIKONO UHUDUMIWI “WAFATE UTARATIBU”

Soma na hizi

Tupia Comments