Top Stories

Millard Ayo “Nilinyimwa mkopo kisa sina hati ya nyumba, gari, Kusaga akanipa hela” (+video)

on

C.E.O wa AyoTV na Mtangazaji wa Clouds FM Millard Ayo ameeleza namna Boss wake Joseph Kusaga alivyomsaidia kwenye maisha yake alipoingia Clouds Media mpaka kufikia yeye kufungua Media yake akiwa bado anaendelea kufanya Clouds.

 

Soma na hizi

Tupia Comments