Maajabu

Mtoto alizaliwa bila sehemu ya kichwa na Ubongo, madaktari nao walikata tamaa lakini katimiza mwaka.. +Video

on

Jaxon Buell alizaliwa August 27 2014 huko Birmingham, Uingereza akiwa hana sehemu kubwa ya fuvu la kichwa pamoja na ubongo.
jason3

Wazazi wa Jaxon, Brandon na Brittany pamoja na mtoto wao wakiwa na nyuso za furaha

Wazi hao waliweza kukusanya kiasi cha dola 100,000 kutoka kwa watu mbalimbali ili kuokoa maisha ya mtoto wao tangu azaliwe na sasa ana miezi 13 na anaendelea vizuri.

jason4

Unaweza kuitazama na hii video yake hapa pia…

https://www.youtube.com/watch?v=T-zfV6ecSAQ&hd=1

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenyeTwitter,FB,Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM, TWITTER,FB, YOUTUBE

Tupia Comments