Top Stories

Taji la Miss Mwanza 2018 limemuangukia Sharon Hedlam

on

Mashindano ya kumpata mrembo wa Jiji la Mwanza 2018 yamefanyika usiku wa July 06, Rock City Mall, ambapo mrembo Sharon Headlam amekuwa mshindi wa kwanza na ndio atayeiwakilisha Mwanza kwenye mashindano ya Miss Tanzania 2018.

MWANZO MWISHO: Alivyopatikana Miss Arusha mpya 2018/19

Soma na hizi

Tupia Comments