Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Miss Higher Learning imerudi Tena 2023, usaili February 11
Share
Notification Show More
Latest News
Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
June 3, 2023
Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
June 3, 2023
Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky
June 3, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Entertainment > Miss Higher Learning imerudi Tena 2023, usaili February 11
Entertainment

Miss Higher Learning imerudi Tena 2023, usaili February 11

February 4, 2023
Share
1 Min Read
SHARE

Mashindano ya Miss Higher Learning yamerudi tena 2023 baada ya awali 2022 kutofanyika, mashindano hayo yanatarajia kufanyika March 2023.

Kwa upande wa usaili utafanyika February 11 2023 Hug Mug Cafe Masaki jijini Dar es Salaam na vigezo vya ushiriki ni kuanzia warembo wa vyuo Vikuu wenye miaka 18-24.

Kuelekea kuanza kwa usaili wa mashindano hayo wakati wa uzinduzi Miss Higher Learning 2021/22 Otaigo Mwema alikuwepo na ametoa neno kwa warembo wenye nia ya kushiriki na faida ya mashindano hayo.

“Mwaka 2021 nilivyokuja kwenye usaili nilikuwa msichana mdogo naogopa vitu vingi sana kushindwa naogopa kushindana naogopa kujitoa kuonesha kipaji nilicho nacho lakini kitu ambacho nilikuwa na uhakika nacho ni ule moyo wa kuthubutu”>>> Otaigo Mwema

“Mara nyingi vijana wadogo hawajui pakuanzia ni wapi lakini namshukuru Mungu Miss Higher Learning imekuwa ni moja ya mlango uliyofunguka mimi niweze kuwaza ndoto zangu”>>> Otaigo

Otaigo ambaye ni Miss Higher Learning 2021 pia alikuwa mshindi namba 3 wa Miss Tanzania 2022 lakini pia ndio muwakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Miss University Afrika 2023 ambapo tarehe itatangazwa hapo baadae.

https://millardayo.com/wp-content/uploads/2023/02/ht.mp4

You Might Also Like

Kanye West na mke wake wapangisha kwenye mjengo wanaolipia zaidi ya Mill 47 kwa mwezi

Lil uzi vert afichua siri nyuma ya diamond aliyoiweka kwenye paji la uso wake

Rapper Lil Durk agonga vichwa vya habari baada ya kumpa zawadi shabiki nyumba kwa siku 30

Tupac Shakur Kupokea tuzo ya ‘Dead Star on Hollywood Walk of Fame’

Kampuni ya Adidas imeanza tena kuuza yeezys

TAGGED: burudani, entertaining
Rama Mwelondo TZA February 4, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 4, 2023
Next Article Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Wema Sepetu alivyokutana na mashabiki zake Elements Bar Masaki
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia
Top Stories June 3, 2023
Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F
Top Stories June 3, 2023
Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo
Top Stories June 3, 2023
Watu 288 sasa wamethibitishwa kufarikiwengine 900 kujeruhiwa katika ajali ya treni India
Top Stories June 3, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka Airport DSM, Ndege ya kwanza ya mizigo ‘Boeing 767-300F ilivyotua, Rais ashuhudia

June 3, 2023
Top Stories

Mapokezi ya ndege ya kwanza ya mizigo aina ya Boeing 767 -300F

June 3, 2023
Top Stories

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan anatarajiwa kuapishwa kuliongoza taifa hilo

June 3, 2023
Top Stories

Ukraine iko tayari kuzindua mashambulizi-Volodymyr Zelensky

June 3, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?