Habari za Mastaa

Beyonce nomaa eeeh?!! tazama alichofanya mtoto wa miaka minne wa The Game kwenye ‘drunk in love’

on

Screen Shot 2014-01-10 at 7.42.06 AMUzito wa Beyonce kumiliki headlines haupo kwenye Radio, TV au mitandao peke yake…. pamoja na ukubwa wa mashabiki wa kike alionao mama Ivy, naona kumbe anao hata watoto kwenye hiyo list ya wanaomfatilia….

Rapper ambae zamani alikua kwenye kikosi cha G Unit, The game amepost picha na video za mtoto wake aitwae Cali mwenye umri wa miaka minne akiimba sehemu ya single mpya ya Beyonce ‘drunk in love’

caliUnaweza kutazama video zenyewe hapa chini…

 

 

Tupia Comments