Habari za Mastaa

Picha za kwanza za jinsi Miss IFM 2014 ilivyokua na huyu mshindi kutangazwa

By

on

578dimondChuo cha usimamizi wa Fedha IFM usiku wa mei 09 walikua wakimtafuta Miss Ifm ambayo kwao ni kama kumtafuta mwakilishi wao ambaye atakwenda kuwawakilisha kwenye ngazi zinazofuata za mashindani haya ya urembo.

Mgeni rasmi katika mashindano haya alikuwa ni Lawrence Masha,burudani toka 254 ilihusishwa ambapo Cmb Prezzo ameburudisha watu wote waliokuwa ukumbini usiku huo na katika mashindano haya yamemalizika kwa Lilian Timoth kutangazwa kuwa ni Miss IFM 2014.

Wengine ni aliyeshika nafasi ya pili Miss IFM Evanice William na Miss IFM nafasi ya tatu ni Lilian Josephat,hizi ni miongoni mwa picha kuanzia Red Carpet mpaka mshindi alipopatikana.

14dimond

 18dimond

21dimond

23dimond

28dimond

46dimondMtu wako wa nguvu na watu wake wa nguvu kwenye Redcarpet ya Miss IFM 2014

49dimondMtu wako wa nguvu na watu wake wa nguvu kwenye Redcarpet ya Miss IFM 2014

53dimond

58dimond

69dimond

64dimond

62dimond

61dimond

60dimond

71dimond

77dimond

78dimond

88dimond

89dimond

90dimond

113dimond

115dimond

97dimond

98dimond

120dimond

130dimondMsouth miongoni mwa wasanii walioshangiliwa sana usiku huu

102dimondMamiss wakifanya show ya ufunguaji wa mashindano haya.

112dimondMeza ya majaji ikiongozwa na Martin Kadinda ambaye pia ni Meneja wa Wema Sepetu

149dimond

159dimond

190dimond

198dimond

163dimond

171dimond

231dimond

236dimond

177dimond

186dimond

240dimond

244dimond

246dimond

248dimond

250dimond

252dimond

267dimond

266dimond

262dimond

258dimond

257dimond

270dimond

393dimondMh. Lawrence Masha akiongea na top 5 ya Miss IFM 2014

397dimondMgeni rasmi Mh.Lawrence Masha akitangaza zawadi kwa mshindi

274dimond

277dimond

405dimond

424dimondWashiriki wa Miss IFM 2014 wakiulizwa maswali

293dimond

  425dimondOne B ndiye alikua Mc wa mashindano haya na hapa akizungumza na mashabiki

431dimond

467dimondToka 254 Cmb Prezzo akifanya yake kwenye jukwaa la Miss IFM 2014

468dimond

443dimond

445dimondMiongoni wa wadada wenye sauti nzuri huyu anaitwa Vumilia kutoka Kalunde Band.

469dimond

472dimond

  458dimond

473dimond

477dimond

507dimond

510dimond

487dimondWaalikwa wakifatilia mashindano wakati yanaendelea.

488dimond

532dimondSehemu ya waalikwa wa Miss IFM 2014.

534dimond

489dimond

502dimond

536dimondMartin Kadinda akiwa pamoja na mshindi wa kwanza na wa pili.

551dimondOne B akiwa na mshindi wa kwanza ambye ndiye Miss IFM 2014 Lilian Mwasha.

553dimondHapa ilikua baada ya mshindi kutangazwa kila mtu alikua akichukua tukio hilo.

571dimondHuyu ndiye Miss IFM 2014 Lilian Mwasha

584dimondMiss IFM katikati akiwa pamoja na viongozi wa serikali ya wanafunzi wa IFM

Hizi ni picha za mwanzo tu ila ungana na mimi twitter kwa kubonyeza HAPA na nitakutumia link ya picha nyingine na video ya kila kilichotokea , pia kujiunga na mimi instagram na facebook bonyeza hapa >> INSTA na FB


Tupia Comments