AyoTV

Miss Tanzania namba 3 kuhusu ushindi wa Miss Tanzania 2016 (+video)

on

Fainali ya Miss Tanzania 2016 imefanyika Mwanza Tanzania October 29 2016 ambapo mshindi ametangazwa kuwa ni Diana Lukumai ambapo saa chache baada ya kutangazwa kwake baadhi ya watu wameonyesha kutoridhishwa na ushindi wake.

Miss Tanzania namba tatu kwenye shindano la mwaka 2016 Grace Malikita amejitokeza na kumtetea Diana kwa kusema ‘Mimi nimeridhika na matokeo kwakweli, nimeishi nae na nimeishi na Wasichana wote na yeye kweli alikua na jitihada sana, kwa mwaka huu yani naomba mtu yeyote asiseme amependelewa’

ULIIKOSA MISS TANZANIA 2016? MWANZO MWISHO IPO KWENYE HII VIDEO HAPA CHINI..

Soma na hizi

Tupia Comments