Habari za Mastaa

Mrembo wa Tanzania kwenye taji la Miss Universe na Vazi la jioni..Pichaz

on

Leo nakukutanisha na warembo 7 wanaowakilisha nchi mbalimbali za Afrika kwenye stage ya Miss Universe zitakazofanyika Dec.20 katika ukumbi wa Planet Hollywood Las Vegas Resort & Casino katika jiji la Las Vegas Marekani.

Warembo hao wanaonekana wakiwa katika vazi la usiku akiwemo mrembo anayeiwakilisha Tanzania Lorraine Marriot.

ves

Whitney Shikongo-Angola

 

ves2

Ornella Obone-Gabon

ves3

Hilda Frimpong– Ghana

ves4

Sheetal Khadun- Mauritius

ves5

Debbie Collins- Nigeria

ves6

Refilwe Mthimunye- Afrika Kusini

ves7

Lorraine Marriot- Tanzania

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana naMillardAyo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Tupia Comments