Mix

Miss World 2015 imeisha na mshindi ameshatangazwa + Top 10

on

Ni shindano ambalo limefanyika nchini China kwa mara ya saba kuanzia mwaka 2003 ambapo kwenye fainali za 2015, mshindi ametangazwa kuwa ni Mireia Lalaguna Royo wa Hispania ambaye umri wake ni miaka 23, wanasema kingine kikubwa kilichompa nafasi ni umahiri wake mkubwa wa kuongea mbele ya hadhara.

miss world 2

Nchi zilizoingia kwenye Top 10 ya shindano hili la 65 ni Russia, Philippines, Guyana, Lebanon, Spain, Jamaica, France, South Africa, Spain and Australia.

M1

 

m2

m3

m4

miss world 4

miss world 3

Tanzania ilikua ikiwakilishwa na Mrembo Lilian Kamazima ambaye pia alifanikiwa kuingia kwenye kumi bora ya Miss World beauty with a purpose ambayo ilitokana na kuitumikia jamii kwenye project yake ya tatizo la Fistula kwa kina mama.

Kamazima

M5

m6

m7

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments