Habari za Mastaa

Mixtape ya Drake ‘Dark Lane Demo Tapes’ imeshika namba mbili chart za Billboard 200

on

NI Headlines za Mkali kutokea Canada, Drake ambae time hii anazimiliki vichwa vya habari baada ya Mixtape yake mpya ya Dark Lane Demo Tapes kushika nafasi ya pili kwenye chart za Billboard 200.

Mixtape ya Drake imeshika nafasi ya pili ikiwa imeuzwa nakala 223,000 huku namba moja akiwa mkali Kenny Chesney na album yake ya ‘Here and Now’ ambayo imeuza nakala 233, 000 na kuongoza chart hizo.

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments