Breaking News

BREAKING: Familia ya MO Dewji yavunja ukimya yatangaza dau la BILIONI 1

on

Muda huu ndani ya AyoTV tazama LIVE Familia ya Mfanyabiashara MO Dewji inazungumza na wanahabari katika ofisi za kampuni ya MeTL Group zilizopo katika jengo la Golden Jubilee Towers ghorofa ya 20 mtaa wa Ohio, Posta jijini Dar es Salaam.

TOP 10: MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUMHUSU JAKAYA KIKWETE

Soma na hizi

Tupia Comments