Moja ya stori kubwa iliyowahi kuhojiwa hadi bungeni ni kuhusu mabaki ya mjusi mkubwa zaidi duniani aliyegunduliwa Tanzania katika vilima vya Tendaguuru Lindi mwaka 1909 aliyeishi kwa miaka milioni 150 huku akiwa na urefu wa zaidi ya mita 13 ambapo mabaki yake alipelekwa Ujerumani.
AyoTV na millardayo zimeweka sehemu ya kambi yake nchini Ujerumani kwa sasa, imekwenda mpaka kwenye makumbusho makuu ya taifa ya sayansi Hamburg ili kukuletea ripoti kamili kuhusu mjusi huyo.
Maelezo zaidi yanatolewa kwenye hii video hapa chini bonyeza play kujionea…
EXCLUSIVE VIDEO: Milionea Sumry hataki tena kusikia biashara ya Mabasi, katuonyesha alikojichimbia…