Ajali

VIDEO: Majibu ya Waziri Mkuu Majaliwa kwa Freeman Mbowe baada ya headlines za Sukari

on

leo May 19 2016 Wizara ya Nishati na Madini imepata time ya kuwasilisha hotuba yake ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2017.Waziri Sospeter Muhongo ndio alihusika kuiwasilisha Bungeni.

Lakini kulikuwa na kipindi cha maswali na majibu kwa Waziri Mkuu, Maswali ambayo yalikuwa yakiulizwa na baadhi ya Wabunge. Kwenye hizi dakika 7 zina maswali na majibu kutoka kwa Mbunge wa Hai Freeman Mbowe kuhusu uhaba wa sukari, majibu yake yakatolewa na Waziri Mkuu Majaliwa.

ULIIKOSA HII PART TWO YA EXCLUSIVE YA MBUNGE AGNESS MARWA -‘NAWASHANGAA WANAOIPONDA CV YANGU’?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments