Leo September 13, 2018 Bado naendelea kukusogezea updates kutoa katika Mradi wa ULGSP uliochini ya Ofisi ya Rais TAMISEMI kupitia Mradi huu wa ULGSP, Sumbawanga wametonyesha Mpango wao wa Miaka 20 ujao (MASTER PLAN) Utakaosaidia kuepukana na Makazi Olela.