Top Stories

TCRA wakanusha ujumbe unaosambazwa mtandaoni “Ni tango pori”

on

Leo March 18, 2019 Nakusogezea taarifa kutoka katika ukurasa wa Twitter wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ambapo unakanusha taarifa ambayo inasambazwa mitandaoni kuwa haijatolewa TCRA. “Ni tango pori na Mamlaka inafwatilia aliyetunga na kuisambaza”.

MGOMO WA DALADALA MBEYA, BAJAJI ZASHIKA HATAMU, NAULI BEI JUU

Soma na hizi

Tupia Comments