Top Stories

Rais Magufuli kuzindua Hifadhi ya Taifa ya Burigi Chato

on

Leo July 4, 2019 Kutoka Mkoani Mwanza tunaambiwa Rais Dk. John Magufuli anatarajia kuzindua rasmi hifadhi ya taifa ya Burigi Chato July 9 mwaka huu.

Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamis Kigwangala wakati wa ufunguzi wa mkutano wa mwaka 2019 wa TANAPA kwa Wahariri na Wanahabari waandamizi uliofanyika Jijini Mwanza.

Awali hifadhi ya taifa ya Burigi Chato ilikua pori la akiba lililojulikana kwa jina la Burigi kabla ya kupandishwa hadhi.

HIFADHI MPYA TANO ZA WANYAMA ZAGUNDULIKA, WAITARA AZUNGUMZIA FURSA NA MABORESHO YANAYOFANYIKA

Soma na hizi

Tupia Comments