Top Stories

Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais TFF Wambura afikishwa Mahakamani na TAKUKURU (+video)

on

Aliyekuwa Makamu wa Rais wa TFF Michael Wambura amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu DSM muda huu kwa ajili ya kusomewa mashtaka baada ya kushikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU).

LIVE MAGAZETI: Dawa ya kumtuliza Lissu, Nape “sipingani na JPM”

Soma na hizi

Tupia Comments