Top Stories

Mjapan aliejifunza kiswahili kwa miezi mitatu tu, anaimba Bongofleva kama Mswahili vile

on

Kutana na Ryuta Okamoto, Raia wa Japan ambaye amejifunza kiswahili kwa miezi mitatu tu na kuja kukaa Tanzania kwa mwaka mmoja na nusu, ukisikiliza kiswahili chake huwezi kuamini kama alitumia miezi mitatu tu kujifunza.

Kingine kikubwa ni jinsi anavyoziimba nyimbo za Bongofleva, anasema humchukua wiki moja au mbili tu kuzimeza hizo nyimbo alafu anaibuka kunako tamasha na gitaa lake, nisisimulie sana bonyeza play kwenye hii video hapa chini kumtazama

SIMU YA MSIKILIZAJI, DEMU KA-MCHEAT MARA MBILI NA BADO YUPO NAE… ASIMULIA ALIVYOMFATA MWALIMU USO KWA USO

Soma na hizi

Tupia Comments