Leo August 9, 2017 kwenye YouTube ya millardayo kuna matangazo ya LIVE ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda na Wahariri wa Vyombo vya Habari wanazungumza.
VIDEO: Makonda alivyoamuru Mwenyekiti mwingine akamatwe katikati ya mkutano
VIDEO: Mwenyekiti alivyochukuliwa na Polisi mbele ya Wananchi kwa amri ya Paul Makonda, tazama hapa chini kwenye hii video