Habari za Mastaa

Mjengo mpya wa Mwigizaji Kitale Kigamboni…. “niliuza Noah nikanunua hiki kiwanja”

on

Ukimtazama kwenye movie zake mara nyingi Mwigizaji Kitale anaonekana kama Teja, Mtu ambae hajielewi fresh ila kwenye maisha ya kawaida anajielewa sana na leo ametuonesha nyumba yake ya pili aliyoijenga kutokana na pesa za sanaa anayoifanya, hii nyumba ipo Kigamboni Dar es salaam na ina vyumba vinne na vitatu kati yake vina choo na bafu ndani, bonyeza play hapa chini kuitazama

MWANAMKE ALIEUTUKANA MSAFARA WA RAIS DONALD TRUMP KWA KIDOLE CHA KATI, SIKIA HII KWANINI HAJAKAMATWA?

Soma na hizi

Tupia Comments