Top Stories

Mjengo wa BILIONI 25 wa kifahari unaomilikiwa na Barack Obama na Mkewe (+video)

on

Rais Mstaafu wa Marekani Barack Obama na mkewe, Michelle Obama wamenunua jumba la kifahari lililopo eneo la Martha Vineyard katika Kisiwa cha Massachusetts kwa TZS 25 Bilioni ($11.75 milioni).

Familia ya Obama imenunua jengo hilo kutoka wa Wcliffe Grousbeck ambaye anamiliki klabu ya mpira wa kikapu ya Boston Celtic, na Corinne Basler Grousbeck.

Jumba hilo lenye nyumba 7 vya kulala limekaa juu ya eneo lenye ukubwa wa takribani ekari 30 karibu na Ziwa la Edgartown Great. Bei ya awali ya jumba hilo ilikuwa TZS 34 bilioni.

Soma na hizi

Tupia Comments