Mix

Picha 5 za Ridhiwani Kikwete na Godfrey Mgimwa wakiapishwa mjengoni Dodoma leo.

on

PG4A8214Wabunge wapya walioingia mjengoni msimu huu ni pamoja na Mbunge Ridhiwani Kikwete kutoka jimbo la Chalinze na mbunge Godfrey Mgimwa kutoka jimbo la Kalenga leo wameapishwa rasmi kwenye Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

PG4A8163Hizi ni picha mbalimbali zinazomuonyesha Ridhiwani Kikwete na Godfrey Mgimwa wakiapishwa huku wakishuhudiwa na wabunge, mawaziri na baadhi ya ndugu wa karibu wa familia zao.

PG4A8123

PG4A8129

PG4A8131Picha:Dodomayetu.blogspot.com

Tupia Comments