Top Stories

Pongezi za Rais Magufuli kwa Rais mteule wa Zimbabwe

on

Leo August 3, 2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amempongeza Rais mteule wa Zimbabwe, Emmerson Mnangangwa kwa ushindi wa kiti cha urais katika uchaguzi uliofanyika.

Rais Magufuli amempongeza Mnangagwa kupitia ukurasa wake w Twitter. Tume ya uchaguzi ya Zimbabwe (ZEC) ilimtangaza Mnangagwa kuwa mshindi katika uchaguzi mkuu baada ya kupata asilimia 50.8 ya kura zote.

Mpinzani wake Nelson Chamisa kutoka chama cha MDC aliyepata asilimia 44.3 ya kura zote.

JOKATE: “kwa vyovyote vile sitotoa siri nitazozijua kwenye Ukuu wa Wilaya”

Soma na hizi

Tupia Comments