Top Stories

Waziri Kigwangalla ametua na Helcopter, Mpina, Gambo na Jerry Muro wampokea

on

Leo August 4, 2018 Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangalla amefikishwa kwenye hospitali ya Selian jijini Arusha kwa matibabu zaidi baada ya kupatiwa matibabu ya awali kwenye kituo cha afya Magugu.

Mbunge Lema anatueleza hali ya Kingwangalla baada ya kumtembelea hospitalini

 

Soma na hizi

Tupia Comments