Track za funga mwaka zinaendelea kumiminika na leo December 21, 2018 Mbongo anaeishi nchini Afrika Kusini Royazdad ametuachia ngoma inaitwa ‘Wote’ Director ni Hanscana na imefanyika kwa Madiba…Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama.
VideoMPYA: Royazdad amedondosha ya kufungia mwaka ‘wote’ mkono wa director Hanscana

Leave a comment
Leave a comment