Top Stories

CHADEMA yatangaza kugombea Kinondoni na Siha

on

Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) imetangaza uamuzi wa chama hicho kushiriki katika uchaguzi mdogo katika jimbo la Kinondoni na Siha ambao utafanyika February 17, 2018 na kuwateua wagombea wataoshiriki katika Majimbo hayo.

Akiongea na AyoTV na millardayo.com Afisa habari wa CHADEMA Tumaini Makene amesema katika Jimbo la Kinondoni ameteuliwa Salum Mwalim Juma na Jimbo la Siha atagombea Elvis Christopher Mosi.

KIFO CHA MAMA ALIYEGONGA NDEGE AIRPORT MWANZA

Soma na hizi

Tupia Comments