Top Stories

VIDEO: Mbowe, Viongozi 8 wa CHADEMA walivyofika Mahakamani kisutu leo

on

Leo April 17, 2018 Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Viongozi wengine nane wa Chama hicho wamefika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kwa ajili ya kusikiliza kesi inayowakabili.

Viongozi wa CHADEMA wengine waliofikishwa Mahakamani ni Katibu Mkuu Dr. Vincent Mashinji, Mbunge wa Kibamba John Mnyika, Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Salum Mwalim, Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa na Ester Matiko Mbunge, Mbunge wa Kawe Halima Mdee, Esther Bulaya pamoja na John Heche.

Alichozungumza Fatma Karume baada ya kushinda urais TLS

Soma na hizi

Tupia Comments