Video Mpya

VideoMPYA: Tino Mafia anakukaribisha kuitazama ‘Sorry’ kamshirikisha Diva

on

January 12, 2018 Bongoflevani kuna ujio mpya wa kwake Tino Mafia ambapo ametuletea video ya wimbo wake unaitwa ‘Sorry’ akiwa amemshirikisha Mwanadada Diva. Director ni Benroyal...Bonyeza PLAY hapa chini kuitazama pia usisahau kuacha Comment yako.

EXCLUSIVE: “Nilitumia Million 30 kumsimamisha Rich Mavoko lakini akanikimbia”

Soma na hizi

Tupia Comments