Top Stories

DC Bukoba awavaa Watendaji waliokalia MILIONI 400 za ujenzi

on

Mwenyekiti wa Kamati ya Ujenzi wa Kituo cha Afya Zamzam na Mhandisi wa Ujenzi Manispaa ya Bukoba wamejikuta wakiingia matatani baada ya Mkuu wa Wilaya Bukoba, Deodatus Kinawilo kukuta walipokea fedha za ujenzi Milioni 400 kwa zaidi ya miezi miwili iliyopita lakini hawajafanya kazi yoyote mpaka sasa.

Sababu zinazosababisha Binti kukosa masomo kwa miezi miwili Mbeya

Soma na hizi

Tupia Comments