Top Stories

Watu watatu majambazi raia wa Burundi wameuawa Kigoma (+video)

on

Watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wameuawa. huku askari polisi wawili wakijeruhiwa baada ya kutokea kwa majibizano ya risasi katika tukio la ujambazi wilayani Kibondo mkoani Kigoma.

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Kigoma, Martin Ottieno amethibitisha kutokea tukio hilo nyumbani kwa mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Sophia Dickson, mkazi wa mtaa wa Kanyamahela ambapo watu watu hao walivamia kwa nia ya kupora fedha inayodaiwa kuwa ni ya kiinua mgongo.

‘’Mtu yoyote ambae amemuajiri Mrundi msako unaanza, imetosha tumechoka’’ DC Kibondo

Soma na hizi

Tupia Comments