Top Stories

Mgahawa pekee Tanzania wahudumu wake ‘viziwi’, tazama wanavyohudumia (+video)

on

Kutoka Nyanda za Juu Kusini leo October 3, 2018 nakusogezea stori kutoka Mkoani Iringa ambapo AyoTV na millardayo.com wamefika katika mgahawa ambao wahudumu wake ni viziwi, Ripota wetu ameongea na mmoja ya wa hudumu ambapo ameeleza jinsi wanavyotoa huduma.

Mzee aliepokea Milioni 20 za Rais Magufuli “2020 mwambieni asihangaike akae tuli”

Soma na hizi

Tupia Comments