Baada ya kuwepo kwa taarifa ya kijana mwenye umri wa miaka 18, kudaiwa kumuua Mama yake Mkubwa na Kaka, kisha yeye mwenyewe kujinyonga, AyoTV na millardayo.com imefika maeneo ya Salasala na kuzungumza na Mjumbe wa Kinzudi Majengo, Zabroni Manyama ambapo amezungumzia mkasa mzima tukio hilo likivyokuwa.
BREAKING: MAGUFULI ATANGAZA UTEUZI MZITO, ATUMBUA BOSS NEC, AHAMISHA WAKURUGENZI 10