Ad

AyoTV

PAPO KWA PAPO: Maswali ya Mbowe kwa Waziri Mkuu Bungeni leo

on

Mbunge wa Hai Freeman Mbowe alisimama Bungeni leo na kuumuliza live Waziri Mkuu kuhusu Serikali kushindwa kutekeleza maazimio ya Bunge ikiwemo sakata la ESCROW, Mabilioni ya Uswiss pamoja na Tokomeza….. HII VIDEO HAPA CHINI INA MASWALI YOTE NA MAJIBU

ULIPITWA? NAPE NNAUYE ASEMA ‘HAWA WANANCHI HAWATOTURUDISHA TENA tazama kila alichosema kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments