Michezo

Kwanini kocha wa Majimaji FC hajarudi Tz mpaka leo? mchezaji aliejipeleka Mbeya City je?

on

Maswali yote haya yanayo majibu yake, usajili wa Wachezaji wawili walioufanyia maamuzi Majimaji FC, Wachezaji walioachwa, mchezaji wa Majimaji FC anayetajwa kutaka kusajiliwa na Mbeya City? kocha wa Majimaji ambaye ni raia wa Finland Mika Lonnstrom hajarudi Tanzania mpaka leo, vp? maswali yote haya yanajibiwa na Meneja wa Majimaji Godfrey Mvula.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments