Duniani

PICHAZ 22 : Majengo ya kushangaza duniani.

on

June 12 2016 nakusogezea picha 22 za majengo yenye muonekano tofauti na majengo mengine uliyowahi kuyaona, Majengo haya  yanapatikana nchi mbalimbali ikiwemo France, Marekani, Korea n.k imejengwa kwa staili ya kipekee kabisa pia usisahau kunidondoshea comment yako chini mtu wangu.

1.Jengo hili limejengwa nchini Poland mwaka 2014 na lenye kuonekana kama jengo linalodondoka.

crooked house

crdhs

2. Jengo hili la nyumba lenye muonekano wa chini juu juu chini limejengwa  kwa siku 114 nchini Poland kwenye kijiji kidogo cha Szymbark mwaka 2013.

upside-down-house-poland

UpsideDownHouse

3. Jengo hili la mfano wa kinanda limejengwa mjini Huainan, nchini China mwaka  2007.

ThePianoHouseHuainanAnhuiChina

piano

4. Jengo hili limejengwa chini ya ardhi ndani ya korongo  nchini  Switzerland.

hill house

5. Nyumba hii iliojengwa juu ya jiwe katikati ya mto na kundi la marafiki nchini Serbia.

river house

6. Nyumba ya jiwe iliyojengwa nchini Portugal mwaka 1973.

stone house

7. Nyumba hii iliyojengwa kwa mfano wa sheli ya samaki mwaka 1960 nchini Mexico.

seashell house

Nautilus-House6-600x400

8. Jengo hili limejengwa nchini Singapore.

singapore

9. Jengo hili limejengwa na linatumika kama makazi ya watu nchini Netherlands.

cubes

10. Jengo la Kingdom Tower jengo lililopo katika mji wa Jeddah, Saudi Arabia, ni miongoni mwa majengo marefu duniani, lilijengwa kwa gharama ya dola bilioni.

saud

11. Jengo la Cathedral of our Lady of Aparecida ni jengo la kanisa ambalo lipo Brazil, lilijengwa mwaka 1946 hadi 1980, hupokea watalii milioni 10 kila mwaka, huchukua watu zaidi ya 70,000 lina ukubwa wa mita 12,000.

brazil

12.Jengo la nyumba hii yenye shepu ya ndege aina ya Airbus A380, imejengwa uko nchini Miziara, Lebanon.

airplane_house1-600x399

 

13. Jengo hili iliojengwa kwa mfano wa gari nchini Austria.

gar

garii

14. Jengo hili limejengwa kwa tani 110 za chuma nchini Texas kwanzia mwaka 1973 mpaka 1996.

The-Steel-House2-600x400

The-Steel-House1-600x450

15. Jengo la Crystal Cathedral limejegwa Kjiji cha Garden Grove, California.

cry

ULIKOSA KUIONA VIDEO YA TUZO ZA NDOA ZILIZODUMU MUDA MREFU KUTOLEWA TANZANIA? ICHEKI VIDEO HII HAPA CHINI.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments