Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Wanajeshi watimua vumbi Kigoma, tazama mwanzo mwisho ilivyokuwa (+video)

on

Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ ) Kikosi cha 24kj Kigoma kimetakiwa kuendelea kukagua maeneo yote ya mapori yaliyopo Mkoani humo, ambayo yamekuwa yakitumika na baadhi ya watu kufanyia vitendo vya uhalifu na ujambazi na kuhakikisha vitendo hivyo vinatokomezwa.

Agizo hilo limetolewa na Mkuu wa Brigedi ya Mgharabi 202kv Brigedia Jenerali Jacob Mkunda wakati wa kuahirishwa kwa zoezi KIKAKA, zoezi ambalo lililenga kuwajengea uwezo Askari na Maafisa Kijeshi katika uwanja wa vita juu ya matumizi ya silaha na maeneo yao katika wilaya za Kasulu Kibondo na Kakonko.

JESHI LATOA RAI KWA POLISI ”KAZI NI ENDELEVU”

Soma na hizi

Tupia Comments