Habari za Mastaa

Akiwa na umri wa miaka 50, Janeth Jackson amepata mtoto wa kwanza.

on

Janeth Jackson (50)  dada wa marehemu Michael Jackson ni mwanamziki ambaye amekuwa na mafanikio makubwa  kupitia mziki wake, heshima ya mziki wake ikitambulika duniani kote. Lakini jambo moja ambalo amekuwa akitamani maishani mwake ni kupata mtoto. Imeripotiwa kuwa Janeth na mumewe Wissam Al Mana wamefanikiwa kupata mtoto wa kiume na kumuita Eissa Al Mana.

j-jackson

Janeth Jackson na mumewe Wissam Al Mana

Video: Magazeti ya leo Dec4, Siri ya JPM  kuwabeba wasomi wa ndani na mengine mengi>>>

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments