Ni mwendelezo wa habari kutokea Bungeni Dodoma ambapo Wabunge walikuwa wakichangia mapendekezo yao katika mjadala wa wa taarifa za Kamati za Bunge na Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC) miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuchangia ni pamoja na Mbunge wa Sengerema Marwa Chacha.