Mbunge wa Singida magharibi Elibariki Kingu amelieleza Bunge kwamba kumekuwa na baadhi ya watu wanaokosoa maamuzi ya Rais John Pombe Magufuli kuhusu hatua aliyoitangaza ya Serikali kuzinunua korosho zote katika mikoa ya kusini huku watu walikuwa na lengo la kuicheka taifa endapo ingefeli katika kutekeleza maamuzi yake.
“Sikutegemea Rais angefanya maamuzi ya namna hii, mimi nina mapungufu yangu”- Mbunge Kingu

Leave a comment
Leave a comment